• VITABU VIPYA

   

  KITABU KILICHOZIKWA ILI KISISOMWE NA WATU. JE? UNAJUA WATU HAO WALIKUWA NA NIA GANI? AU KILIKAA
  ARDHINI KWA MIAKA MINGAPI KABLA YA KUGUNDULIWA TENA KWA BAHATI? KWA HAKIKA
  KITABU HIKI KINAZUNGUMZIA NAMNA YA MWANADAMU KUFIKIA UTIMILIFU! JE UNAJUA
  CHUMBA CHA HARUSI NI NINI AMBAPO BIBI HARUSI NA BWANA HARUSI HUUNGANA? NA JE
  BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI NI AKINA NANI? UTABARIKIWA IWAPO UKISOMA NA KUELEWA
  HAYA YOTE!

  broken image

   

   

 • Posts

  Thoughts, musings, and ruminations.

 •  

  ''Ujinga ni chanzo cha maovu yote, na hutumikia kifo.
  Hakuna kilichotokea au kamwe kitakachozaliwa kutokana na ujinga.
  Wale wanaoishi kwa kukesha watafurahi ukweli unapofichuliwa.''

  - Injili ya filipo 123.