KITABU CHA INJILI YA FILIPO PDF. (Hakikisha unakipata)


Wale waliotengana wataungana tena na kurutubishwa. Wale wote wanaojizoesha kumbatio takatifu [koiton] watawasha mwanga; hawatazaa kama watu wanavyozaa katika ndoa za kawaida,ambazo hufanyika gizani.

Moto unaowaka wakati wa usiku unawaka, na kisha haupo; lakini fumbo la kukumbatia halizimiki kamwe;
hutokea katika mwanga wa mchana usiojua machweo. (Fil.126)